RANKING UP KWENYE SEARCH SUGGESTIONS ZA GOOGLE?.
Kufanya Ranking up kwenye Google na search engines nyingine inachukua muda, Lazima website/blog yako iwe na content ambazo ni za kipekee. Pia isiyopungua miezi sita online.
Vile vile kama unataka kutengeneza leo kisha leo leo uwe ranked up! kwenye search engine, itatakiwa utoe pesa kununua traffics..
Ila kama una blog au website iko na siku zaidi ya miezi sita au mwaka na haionekani kwenye search engine.
Fanya mambo yafuatayo👇🏿👇🏿
⌨️Rekebisha SEO zako unazotegemea kuwa ranked up! Maana kuna kitu kitakuwa hakiko sawa.
⌨️Pia kama una picha hata moja yenye copyright huwezi ku rank up!..
au kama una content uliyoicopy kwa website au blog nyingine bila kuformat uandishi wake ni changamoto.
⌨️Vile vile kama unatumia kiingereza katika blog au website yako ku rank up sio kazi rahisi. maana kuna competition ya kutosha hasa ukizingatia wengi tunatumia AI tools.
Hivyo, unatakiwa kufanya kazi Yako iwe unique kama inawezekana.
⌨️Vile vile kama ni self host ndoto ya ku.rank up! Sahau.
⌨️Vile vile kama utahost web au blog yako katika hosting provider isiyo na nguvu, ku rank up ni ndoto.🏃🏽♂️
Mwisho wa yote 👇🏿👇🏿
⌨️Inatakiwa Kujua Unahitaji website ya namna gani?
⌨️Target traffic yako ni wapi?
⌨️Una masaa mangapi ya kuwekeza kwenye website au blogu yako?
⌨️Je una elimu gani ya web development?
Na unataka utengeneze from scratch au kwa kutumia templates?
Twenzao 🏃🏽♂️🏃🏽♂️
ELEVATING TECH BEYOND LIMITS
0 Comments